Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,549
- 4,515
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe anachukua hatua stahiki mara moja na kuketa taarifa ya hatua zilizochukuliwa ili mzigo uwe wa CAG na si kwa mtuhumiwa wa wizi.
Huu mchezo ndo unatufanya tume gota kwenye cycle.