aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 318
- 488
Heshima kwenu,
Naomba ushauri juu ya uchaguzi wa ununuzi wa Toyota Rush au IST, kiupekee napenda muundo wa Rush imekaa kama gari Fulani yenye hadhi ila sio mjuzi wa magari hata punje, nimeileta kwenu nisaidieni kufanya maamuzi kwa kuzingatia sifa za gari hizo.