Kati ya PVC board na Gypsum Board ipi ni bora?

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
726
564
Naomba mnijuze wanajf na wataalamu wa ujenzi!Mimi kwenye eneo hili sielewi chochote hasa ni kwa kuwa wengine tulizaliwa enzi zile za kutumia silingi bodi!Ninaomna mnielimishe boards nzuri kwa ndani ni zipi kati ya PVC na hizo gypsum!!
 
Kwanza nami naomba unieleweshe ceilling body ni nini make ndo nazisikia kwako huwa zikoje
 
Naomba mnijuze wanajf na wataalamu wa ujenzi!Mimi kwenye eneo hili sielewi chochote hasa ni kwa kuwa wengine tulizaliwa enzi zile za kutumia silingi bodi!Ninaomna mnielimishe boards nzuri kwa ndani ni zipi kati ya PVC na hizo gypsum!!
Zote ni aina ya board na kila aina ina matumizi yake, PVC board zinatumika mahali ambapo Gympsum board haziwezi kutumika mfano sehemu kama za kuoshea magari au dari la nyumba upande wa nje huwezi ukaweka gympsum board kutokana na material yake na hali ya unyevu nyevu

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Back
Top Bottom