matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,740
- 18,739
Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja.
Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu Mifumo ya imani.
Je unadhani ni imani ipi imetoa mchango kwa asilimia kubwa katika umasikini wa taifa?
Je!
Ukristo kwa sababu unasisitiza nchi mpya ya Bwana Yesu ambayo inakata morali ya kuboresha hii yetu ya TZ? Au maombi makali ni kikwazo cha bidii?
Je ni uislam ambayo hauna hamasa kwenye elimu ya dunia inayosababisha kuwa na Madaktari, maengineers, wajasiliamali na wasomi?
Je ni Dini za asili za mababu zetu zinazosisitiza ushirikina, kafara na kupata utajiri kichawi?
Ni hayo tu.