KATI YA HIZI KOZI MBILI IPI NZURI KWENYE SOKO LA AJIRA BONGO

BACHELOR DEGREE IN HUMAN RESOURCES MANAGEMENT NA BACHELOR OF PUBLIC ADMINISTRATION ????
Sikushauri uende hata moja hapo,
Kama una refa sawa, ila kama ni one man army sikushauri.
Hiyo Public administration wamesoma wengi na wengi wap bado hawajapata ajira. Niliomaliza nao chuo wachache wameajiriwa Halotel wanalipwa laki NNE per montn.

You better choose education, or opt for another course
 
We soma unachopenda tu, hilo wazo la kuchagua kozi ukitegemea kuajiriwa ondoa kabisa kama iwe hivyo itatokea basi iwe kama ajali!
Kuna watu wamesomea engineering za hatari na still wapo kitaa boi wanatubu tu, we soma uwe na degree tu mkuu mengine ni mazungumzo baada ya habari!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…