Kiasili kila mwanamke anahitaji vitu 4 kwa wakati mmoja. Akikosa kimojawapo , atakitafuta nje.
Sababu moja wapo kati ya hizi, inamfanya mwanamke kuchepuka:-
1. Financial support (Mpe Pesa na matunzo)
2. Good sex (alidhike kitandani)
3. Attention (simu za mara kwa mara kumjulia hari, msifie, mpe zawadi kama pipi, mchombeze e.t.c)
4. Quality time (mtoe out, fanya naye kazi za nyumbani, kaa naye na msikilize, yaani mpe muda)
Ukiweza kumpa hivi vitu 4 mwanamke kwa wakati mmoja, akichepuka lazima ajilaumu sana na ni ngumu mno kutoka.
Hiyo namba 3 ndiyo inayo wasubua wanawake ambao wako stable financially kama mashangazi, wake wa vigogo, watoto wa kishua, corporates women e.t.c.
Principle ni kwamba kati ya 4, akikosa 1 ni lazima akitafute nje:-
mfano:- unampa 1. hela na matunzo, 2. unamlidhisha kitandani , 3. una mpa attention, ila wewe ni boss na mtu wa vikao na unasafiri sana kwa kifupi huna muda.
Kwa kukosa muda, mkeo atachepuka na dereva wake ambaye anamuona kila muda au atachepuka na shamba boy ambaye anakaa naye muda mwingi au atachepuka na mfanyakazi mwenziye ambaye toka asubuhi mpaka jioni wako pamoja kazini.
Kati ya hivi vitu vinne, ni kipi unadhani mwanamke anaweza kukikosa kutoka kwa mwanaume na bado akaendelea kuvumilia?