Kati ya Hersi kuwa Rais wa vilabu Afrika na Simba kuwa Pot 1, lipi ni jambo la heshima Kwa Mpira wa Tanzania?

Hersi tena,unamzungumzie huyu jamaa anayoendaga kuomba matibu mabovu CAF ila safari hii kwenyenmakundi amekwama ..ni kweli yanga ni malofa hata vitabu vya historia vimeandika
 
Kama sielewi hivi watu wa Mpira wanapoona Simba kuwa Pot 1 ni jambo dogo kuliko Rais wa Yanga Hersi Saidi kuwa Mwenyekiti wa vilabu Afrika.

Hivi kati ya hayo mambo mawili ni lipi watanzania wanatakiwa kujivuna nalo???
Hizo habari za Pot 1 wamejifanya kama hawajazisikia vileee.

Hersi lini ataitisha kikao cha vilabu tuone ukubwa wake, kama kikao hakijajaa vitimu vidogo kama Lipuli, Vital'O na Marumo.
 
Kile cheo cha rais wa vilabu viongozi wengi walikikataa kwa sababu hakikuwa na maslahi ndio Hersi akaona ganda la muwa la Jana...Kikao cha juzi cha CAF ndio atleast wameweka maslahi kwa kutoa usd50000 kwa mwaka Kwa rais wa vilabu...Kwa maoni yangu Hersi alojipendekeza na sio kuchaguliwa
 
Al ahly,wydad,esperance,raja casablanca na timu za kiarabu zote hawamjui wala hawamtambui huyo msomali kama rais wa vilabu africa kama unabisha muambie aitishe kikao cha vilabu uone kama watakuja. "CHAN" michuano rasmi ya "CAF" waarabu wamegomea tena kwa dharau wamesema hawana timu ya kucheza michuano ka ma hiyo. Wao wana timu za kucheza "AFCON" na "WORLD CUP" sembuse huyo msomali wa tandale kwa tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…