Mtaule mgunda
Senior Member
- Jan 25, 2014
- 193
- 61
Habari, kama thread inavyosema, hivi kati ya Mayele mfalme wa Jangwani na Phiri mfalme wa Msimbazi, nani ni mtu hatari zaidi bila ushabiki.
Kwan phiri hafungi? Acha ushabikiSwali lako liko wazi sana, Mayele na kufunga ni kama binadamu na kifo. Haliepukiki hilo.
Waulize Simba
Ligi ya ngao ya jamii, thimba wanajua.Kuna ligi yoyote Duniani hapa.....
Ambayo mayele aliibuka mfungaji bora?
Hata ya kuku tu?
Mayele huyu huyu aliyemshindwa George Mpole wa Geita ndio tuvuke mipaka?Kolo wahuni nyie. Mlianzishaga uzi "kibu vs mayele", chama vs mayele sasa mmeutelekeza mmekuja na phiri vs mayele.
Baada ya hapo mzungu wenu akifunga vigoli viwili mtakuja mzungu vs mayele.
. Yaan mayele huyohuyo anapiganishwa na idadi kubwa ya wachezaji.
Mayele tuvuke mipaka sasa apiganishwe na akina Halland, Messi, Benzema, Mbape n k
Ninachojua Mayele hajawahi kuwa Mfungaji bora kwenye ligi yoyote ile hata UmisetaKuna ligi yoyote Duniani hapa.....
Ambayo mayele aliibuka mfungaji bora?
Hata ya kuku tu?
Mbona anazungumzwa kama ni mtu tishio?Ninachojua Mayele hajawahi kuwa Mfungaji bora kwenye ligi yoyote ile hata Umiseta
Ni mfungaji Bora wa ngao ya jamiiNinachojua Mayele hajawahi kuwa Mfungaji bora kwenye ligi yoyote ile hata Umiseta