Wataaalam wa uezekaji mnaweza kutusaidia Kwa hili. Na vigezo vya ubora ni vipi?
Jee Gauge 28(Geji 28) ya Ando ndiyo geji hiyo hiyo Kwa ALAF. Yani kipimo cha geji ni kimoja kwa mabati yote?
Kama kipimo cha geji kwa mabati yote ni kimoja, Sasa nini kinacholeta utofauti kwenye mabati toka kwenye viwanda tofauti?