fazobonas
Member
- Dec 28, 2023
- 46
- 86
Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya .
Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics lakini ningependa ushauri zaidi kweni Wana jf juu ya course gani itanifaa kusoma mwaka huu ambayo pia itakuwa rahisi mimi kujiajiri mwenyewe nitakapomaliza chuo na hata ikitokea nimebahatika kuajiriwa angalau nikanyosha mshahara mzuri.
Nakaribisha maoni yenu tafadhali.