wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,390
Ngoja wenyewe wakusikie!
We wachokoze tu, mimi sipo
Askari/Mwanajeshi hawaruhusiwi kutembea na pesa/hela taslim...
nadhani mkuu wa nchi atakusikia na kulifanya nyongeza ya jipu la kutumbua.wana jf.
nimekuwa na hoja na mtizamo tofauti kuhusu suala usafiri kati ya mwanafunzi na mwanajeshi\askari.
mwanafunzi analipa nauli nusu endapo akiwa na kitambulisho au akiwa amevaa sare.
mwanajeshi/askari halipi nauli akiwa amevaa sare. na hulipa wakiwa hawajavaa sare.
je. huu utamaduni wa enzi za vita vya uganda. upo kisheria?.
je ni ubabe na udikteta wa jeshi/serikali?... je ni haki?
kwa mtizamo wangu, wanafunzi wapande bure pasipo kulipa nauli na wanajeshi walipe kama abiria wengne.
mwanafunzi hana
msharahara/kipato chochote analipa nauli lkn mwanajeshi halipi japo anakipato.... hii haipo sawa.
wanafunzi wakisafiri bure itasaidia familia maskini, na kuongeza maudhurio mashuleni...
Hebu kuwa na akili wewe mtu ambaye kifua chake na korodani zake ndizo ngao yake wakati wa vita ilhali tu yupo pale kwa ajili ya kukulinda wewe uishi kwa amani na utulivu mkubwa na familia yako na michepuko wako wewe unataka kuleta siasa
mtu huyu ni lazima apewe favor na motisha na moja ya motisha ni kama hivi kwenye masuala ya nauli kusamehewa na mambo mengine madogo madogo
wewe unataka kuleta siasa na vitu serious
nyie ndio wale wale mkishalewa matapu tapu na kunywa supu ya vichwa vya kuku mnaanza kukashifu vyombo vya ulinzi na usalama
MANIAC

Hawajajua tuu mkuu umuhimu
Hawajajua tuu Mkuu, umuhimu wa hawa watu ni mkubwa sana wamejitoa maisha yao ili sisi tuendelee kuishi kwa amani. Serikali kama ya marekani wanatoa favor kwa mavetelani katika nafasi za kazi za kiserikali, wanahospital ambazo zinawahudumia bure au kwa bei nafuu na vitu kibao sasa huyu jamaa analalamika nauli haizidi hata 1000.
Hebu kuwa na akili wewe mtu ambaye kifua chake na korodani zake ndizo ngao yake wakati wa vita ilhali tu yupo pale kwa ajili ya kukulinda wewe uishi kwa amani na utulivu mkubwa na familia yako na michepuko wako wewe unataka kuleta siasa
mtu huyu ni lazima apewe favor na motisha na moja ya motisha ni kama hivi kwenye masuala ya nauli kusamehewa na mambo mengine madogo madogo
wewe unataka kuleta siasa na vitu serious
nyie ndio wale wale mkishalewa matapu tapu na kunywa supu ya vichwa vya kuku mnaanza kukashifu vyombo vya ulinzi na usalama
MANIAC
wapo wafanyakazi wengi muhimu kama madaktari kwaiyo na wao wapande bure kwakuwa wanaokoa maisha ya watu...
acha upendeleo kwa askari.
kama wewe sio Graduate sina tatizo na wewe najua ni level yako ya elimu na upeo mdogo ila kama ni GRADUATE na unatoa pumba kama hizi
hii BRN ime prove failure kwa kutoa mambumbumbu kama wewe
sasa RISK ya udaktari unaifananisha na ya UANAJESHI??
hivi unajua kwa mwaka ni ASKARI wangapi wanakufa duniani
kazi ya jeshi sio sawa na kazi zenu hizi za clearing and forwarding kijana
....