But kumbuka asali ikiwekwa kwenye nyuzi joto zaidi ya 40 C....virutubisho vyake vinavyosifiwa hapa vitaharibika isipokuwa glucose..so kama unaprefer cold tea..then go to honey...but if unataka just a substitute ya sukari..honey is also a gud substitute but hautapata virutubisho vngine as huaribika kwenye joto zaidi ya 40 centigrade.