juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
kama amemgonga report polisi hiyo ni "traffic case"
Hhahaha siyo papuchi case mkuu....vipi kwema lakinikama amemgonga report polisi hiyo ni "traffic case"
Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.nina demu ambaye ninamheshimu kama dada yangu,ila pia nina mshikaji wangu ninayemuheshimu kama kaka yangu.kwa bahati mbaya hawa watu ni wapenzi ila sijajua walitongozana lini na wapi ila mi nilishangaa tu ni wapenzi na inaelekea mapenzi yao ni ya muda.maana walikuwa wakionana wanashangiliana sanaso mimi nilidhani tu kwamba wanajuana,kumbe wanamegana bhana.sasa jana demu ndio kanichana kwamba jamaa yangu ndie anaekula tunda(nikashtuka sana),jioni nikaonana na mwana nikapiga nae story sana,nikamuanzia mbaaali hadi akaropoka kwamba anakula tunda pale,na ananiambia anakula dry bila dhana(anakanyaga tope bila buti).sasa mi yule dada namjua ana ngoma live.nina uhakika na ninachosema japo yeye hajui kama mimi najua ana ngwengwe,ila mi najua na nina uhakika wa 100%(usiniulize nimejuaje ila we elewa hivo).sasa waungwana nipeni ushauri je nimwambie jamaa kwamba alipo sipo au nimuache aendelee kujifia? Kumbuka wote ni washikaji zangu sana
We nawe hazimoMwambie (usiniulize kwa nini ila we elewa hivyo)
NAKUOMBA SASA HIVI MFATE UKAMWAMBIE PLEASE, Unangoja nini sasa hebu muwahi pengine katika hizo siku chache labda Bado hajapata maambukizi, hilo sio jambo la kujishauri.Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.
Nina msichana ambaye ninamheshimu kama dada yangu,ila pia nina mshikaji wangu ninayemuheshimu kama kaka yangu,kwa bahati mbaya hawa watu ni wapenzi ila sijajua walitongozana lini na wapi ila mi nilishangaa tu ni wapenzi na inaelekea mapenzi yao ni ya muda.
Maana walikuwa wakionana wanashangiliana sana so mimi nilidhani tu kwamba wanajuana,kumbe wanamegana bwana. Sasa jana msichana ndio kaniambia kwamba jamaa yangu ndie anaekula tunda(nikashtuka sana),jioni nikaonana na mwana nikapiga nae story sana,nikamuanzia mbali hadi akaropoka kwamba anakula tunda pale,na ananiambia anakula dry bila zana(anakanyaga tope bila buti).
Sasa mi yule dada namjua ana ngoma live,nina uhakika na ninachosema japo yeye hajui kama mimi najua ana ngwengwe,ila mi najua na nina uhakika wa 100%(usiniulize nimejuaje ila we elewa hivo)
Sasa waungwana nipeni ushauri je nimwambie jamaa kwamba alipo sipo au nimuache aendelee kujifia? Kumbuka wote ni washikaji zangu sana.
Wewe naisi hauko timamu...sasaa unasubria nini?au mpaka upatee ushauri JF?mwambia Araka sana rafiki yako?unajua utaanzaje kumwambia?
wee waajabu kweli...Jamani leo nina habari ya kuhuzunisha kidogo.