Katazo la kuweka namba za 3D kwenye magari

lugoda12

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
221
503
Kumbe hili katazo kwa wamiliki wa magari kuweka namba za 3D sio tu hapa Tanzania, naona hata jirani zetu Kenya 🇰🇪 kumepigwa marufuku namba hizo!

97E83925-2AED-4023-A49E-ACF6A816D0B4.jpeg


Pia soma===>> Leo ndio mwisho wa matumizi ya 3D, msako kuanza kesho
 
Back
Top Bottom