JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,661
- 6,395
MrinMkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewataka Wafanyabiashara kuzingatia maelejezo ya Serikali hususani bei elekezi ya sukari huku akitoa onyo kwa yeyote atakaye uza au kuficha sukari, Sheria kali zitachukuliwa dhidi yake.
Amesema Mkoa wa Katavi hadi tarehe 29.02.2024 umepokea Tani 244 za Sukari ambapo Sukari nyingine inatarajiwa kufika ndani ya mkoa huo.