Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,390
Wanabodi. Kama upo katika mojawapo ya groups za madalali wauza magari utakubaliana nami kuwa kwa miezi miwili sasa kuna kasi ya wamiliki wa magari kuuza Kwa Bei za chini sana. Sijui shida Nini?. Magari tuliyozoea kuuzwa mpaka milioni 30 yanauzwa mkononi Kwa milioni 15. Tena hapo dalali kaweka chake.
Sitaki kuweka picha za hayo magari maana sifanyi biashara hiyo lakini nafikiri kuna sababu ambazo labda ninapitwa kuzijua.
Leo wamepost
Sitaki kuweka picha za hayo magari maana sifanyi biashara hiyo lakini nafikiri kuna sababu ambazo labda ninapitwa kuzijua.
Leo wamepost