Karume alivyoiuza Zanzibar kwa Nyerere

WARNING: kajifunzeni South Sudan kabla hamjajitenga. If so!!! Mtakula karafuu hata milele
 
SIKU zote nikisoma habari za Muungano hasa Karume na Nyerere naona umuhimu wa elimu.Nyerere alimzidi karume kwa sababu alikuwa msomi wa hali ya juu.Karume yeye ni kuli tu ambaye saini alikuwa anaweka kwa dole gumba sababu hajui kutumia kalamu.
 
Kama utairudia tena hiyo makala atagundua maswali yako yote yamejibiwa ndani yake.

.Karume hauijuwa kiingreza.
.Mwanasheria wake alikuwa likizo.
.Nk
 
Kama utairudia tena hiyo makala atagundua maswali yako yote yamejibiwa ndani yake.

.Karume hauijuwa kiingreza.
.Mwanasheria wake alikuwa likizo.
.Nk
......na mwanasheria wake alipelekwa likizo na Nyerere kwa makusudi ili apate kufanya hila za kuitwaa Zanzibar bila kutumia nguvu nyingi. Nyerere was very cunning and intelligent than Karume.
 
SIKU zote nikisoma habari za Muungano hasa Karume na Nyerere naona umuhimu wa elimu.Nyerere alimzidi karume kwa sababu alikuwa msomi wa hali ya juu.Karume yeye ni kuli tu ambaye saini alikuwa anaweka kwa dole gumba sababu hajui kutumia kalamu.
....and that is why he sold Zanzibar a begging to Nyerere.
 
mkuu jibu hoja......ni kwanini maCCM mnangangania muungano ilhali wazanzibar hawataki muungano huo? nyie wehu au wendawazimu?
 
Kwa kweli Karume angefufuka leo angeichukua nchi yake haraka sana kutoka ukoloni wa Tanganyika. Serikali na nchi ya Zanzibar imemezwa na Tanganyika kama vile chatu anavyomeza mbwa. Hivi wazanzibar mnasubiri nini kudai nchi yenu iliyoporwa na Tanganyika? Nyambaf zenu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…