Karibuni tujuzane kuhusu BMW 3 Series

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
27,273
78,910
Wakuu Habari.

Leo nilipenda tujuzane kidogo kuhusu BMW 3 Series. Kila mtu aliewahi kumiliki au kuendesha au ata kama kuna fundi aweze kutupatia Experience yake kidogo kuhusu hizi gari. Hii itawasaidia waliokua na wazo la kununua hizi gari au wamiliki waweze kupata mwongozo zaidi.

Mi nitaanza kidogo na Historia ya BMW 3 series.

Hadi sasa 3 Series imeshatengenezwa katika generations (models) 6 ambazo ziko sokoni, E21, E30, E36, E46, E90, F30 na Model ya 7 ni G20 ambayo itaanza kua sokoni 2019. BMW 3 Series zinakuja kwa bodystyles 5 ambazo ni Sedan, Couple, Hatchback (hii sio common sana), convertible na wagon. Pia zina engine size tofauti tofauti kuanzia cc za chini (1500cc) hadi za juu (4000cc), zipo cylinders 3-inline, 4-inline, 6-inline na v8, na zipo petrol, diesel na hybrids models, pia turbo na non-turbo, na zipo special editions zenye package ya ///M Sports. Pia kuna manual na Automatic gearbox.

Kwa leo ningependa tuongelee Model tatu tu ambazo ni common, E46, E90 na F30.

E46

Nadhani hii ndio BMW 3 Series common zaidi Tanzania, na ndio moja kati model ambayo watu wengi duniani wanaisifia kuanzia durability na driving experience. Ukiwa una search kwenye website za kuuza magari, hawatakuambia hii ni E46, ila utajua kwa mwaka uliotengenezwa. E46 ilitengenezwa kuanzia 1997-2005, ikapokelewa na E90.
Mara nyingi tunakutana nazo E46 ambazo ni 318i zenye engine ya N46B20 au N42B20 zote ni 4 Cylinders.

e46.jpg

Ukitaka kununua E46 nashauri ununue kuanzia mwaka 2001 kwenda mbele, kwakua BMW wanatabiia ya kuboresha 3 series kila baada ya miaka mitatu (LCI aka Facelift) kwa kurekebisha vitu vidogo vidogo kuanzia muonekano na perfomance.
Kwenye website za kuuzia magari, CIF ya E46 ni kati ya Million 5 hadi 7 na kuendelea kutegemeana na hali ya gari.
Ushuru wa TRA kwa E46 utakua kati ya Million 6 hadi Million 8 hivi kutegemeana na umri wa gari, engine size na aina ya mafuta.

E90
Kutokana na watu wengi sasa kupenda luxury cars, BMW wakachange uelekeo na kuanza kutengeneza magari luxury zaidi kutoka E46 ambayo ilikua na muonekano wa "kigumu". E90 zilitengenezwa kuanzia 2005 hadi 2012 na ni kubwa zaidi, luxury, na ipo technological advanced zaidi ya E46.

E90.JPG

E90 zipo zenye body tofauti tofauti pia. Kuna E90 sedan, E91 Touring, E92 Couple na E93 Couple. Wewe tu unachopenda.
Engine size zipo za ukubwa kuanzia cc1600 hadi 4000 na kuna 4 Cylinders 6 cylinders na V8 pia (///M version).
Ni gari nzuri sana kwa muonekano, nje na ndani, pia perfomance yake na fuel economy iko vizuri. Usidanganywe na ukubwa wa engine, ulaji wa mafuta upo vizuri tu.

Ukitaka kununua hii E90 nashauri ununue kuanzia mwaka 2009 kwakua ndio LCI Facelift ilifanyika kwa kuboresha zaidi hii gari. Pia kuna maneno maneno kua 320i ambazo ni 4 Cylinders (zina engine N46B20s)ni worse model ya hii generation. Kwahiyo watu wengi wanashauri ununue 6 cylinders (mfano 325i, 328i, 330i etc) ambazo zinatumia engine ya N52, N53. Pia Turbo models N54 na N55 i6 watu wanazipinga wanasema zina matatizo.

Kwa Tanzania tunakutana sana na 320i ambazo zina run smooth tu na hazina shida, so hayo maneno ya watu sio ya kuyapa kipaumbele sana.
**watu=Wachangiaji mbalimbali katika forums mitandaoni, sio lazima wawe Watanzania.

Challenge kubwa ya hii gari ni:
- Water pump. Sijui BMW waliamkaje wakaanza kutumia electric water pump na wakaachana na mechanical. Aisee hivi vidude vinakufa sana after 70,000 km to 80,000 km. Na inauzwa kwenye Tsh 800-Milion na ukinunua na thermostaat yake kama laki 3.

-Kuvuja oil. Kwasababu imetengenezwa kwa plastic sana, oil kuvuja ni kawaida.

-Kwa sababu ya umeme sana, kuwaka waka taa ni kitu cha kawaida, kwahiyo better ukawa na diagnosis machine yako kabisa.

Ila ni moja ya fun car kuendesha, mfano ukapata E90 BMW 325i au 330i, Sport Package, dah.

CIF ya hii gari ni Mill 9 na inaweza kufika hadi Mil 14 kwa base models, ila ukitaka zenye mbwembwe zaidi uta pay zaidi.
Ushuru wa hii unaanzia Million 9 na unaenda hadi Million 13. Itategemeana na sababu mbalimbali.

F30
Hii ndio current generation ya BMW 3 series hadi leo tunavoongea hapa. Ni maboresho ya kila makosa na mapungufu yaliyowahi kujitokeza katika magari yaliyopita. Liko perfect! F30 ni sedan, F31 ni Touring/Estate wagon, F34 fastback na F35 ni sedn ila ina long wheel base.
F30 zimeanza kutoka 2013 hadi leo, tunategemea zitapokelewa na G20 kuanzia mwakani 2019.
F30 zote ni turbo charged, na hapa BMW wali introduce hadi 3 cylinders na hawajawahi kuweka F30 yenye V8 ata M sports Model. Pia katika F30 ndio wali introduce plug-in-hybrid ya kwanza katika 3 series mwaka 2016.

f30.jpg

Kama uchumi sio tatizo, ni gari zuri la kununua. Especialy XDrive na turbo walivozi equip, vimefanya kuendesha gari iwe starehe zaidi. Na Facelift/LCI ilifanyika kuanzia models za 2015 na walifanya maboresho zaidi katika technology, perfomance na muonekano.
F30 ina trim (lines 3) kuna base-line, sports, na luxury kutegemeana na matakwa ya mteja.

Ushuru wake umechangamka sana inafika hadi Mill 15 na CIF zake pia ni above Mil 16.

HITIMISHO
Nimeandika kwa ufupi ila nategemea wadau wataongezea na kwingine watanikosoa. Kwa kukumbushana tusiwe na uwoga kwamba BMW cars ni kichefu-chefu, kwamba zikianza kuharibika zinasumbua. Ni kweli, ila pindi ukiifanyia service ipasavyo, na kwa wataalamu waliobobea, hautaona likisumbua sumbua.

Kuna mdau Mshana Jr alianzisha Uzi hapa ukiwataka kubadirisha mtazamo juu ya BMW na wadau mbalimbali walichangia mawazo yao na ushuhuda, unaweza kuupitia ukajifunza zaidi.

Karibuni.

23BE757D-17FD-4716-B3DA-CF9DE6B6E0B9.jpeg
 
Mkuu
Wakuu Habari.

Leo nilipenda tujuzane kidogo kuhusu BMW 3 Series. Kila mtu aliewahi kumiliki au kuendesha au ata kama kuna fundi aweze kutupatia Experience yake kidogo kuhusu hizi gari. Hii itawasaidia waliokua na wazo la kununua hizi gari au wamiliki waweze kupata mwongozo zaidi.

Mi nitaanza kidogo na Historia ya BMW 3 series.

Hadi sasa 3 Series imeshatengenezwa katika generations (models) 6 ambazo ziko sokoni, E21, E30, E36, E46, E90, F30 na Model ya 7 ni G20 ambayo itaanza kua sokoni 2019. BMW 3 Series zinakuja kwa bodystyles 5 ambazo ni Sedan, Couple, Hatchback (hii sio common sana), convertible na wagon. Pia zina engine size tofauti tofauti kuanzia cc za chini (1500cc) hadi za juu (4000cc), zipo cylinders 3-inline, 4-inline, 6-inline na v8, na zipo petrol, diesel na hybrids models, na zipo special editions zenye package ya ///M Sports. Pia kuna manual na Automatic gearbox.
Kwa leo ningependa tuongelee Model tatu tu ambazo ni common, E46, E90 na F30.

E46
Nadhani hii ndio BMW 3 Series common zaidi Tanzania, na ndio moja kati model ambayo watu wengi duniani wanaisifia kuanzia durability na driving experience. Ukiwa una search kwenye website za kuuza magari, hawatakuambia hii ni E46, ila utajua kwa mwaka uliotengenezwa. E46 ilitengenezwa kuanzia 1997-2005, ikapokelewa na E90.
Mara nyingi tunakutana nazo E46 ambazo ni 318i zenye engine ya N46B20 au N42B20 zote ni 4 Cylinders.

View attachment 879995
Ukitaka kununua E46 nashauri ununue kuanzia mwaka 2001 kwenda mbele, kwakua BMW wanatabiia ya kuboresha 3 series kila baada ya miaka mitatu (LCI aka Facelift) kwa kurekebisha vitu vidogo vidogo kuanzia muonekano na perfomance.
Kwenye website za kuuzia magari, CIF ya E46 ni kati ya Million 5 hadi 7 na kuendelea kutegemeana na hali ya gari.
Ushuru wa TRA kwa E46 utakua kati ya Million 6 hadi Million 8 hivi kutegemeana na umri wa gari, engine size na aina ya mafuta.

E90
Kutokana na watu wengi sasa kupenda luxury cars, BMW wakachange uelekeo na kuanza kutengeneza magari luxury zaidi kutoka E46 ambayo ilikua na muonekano wa "kigumu". E90 zilitengenezwa kuanzia 2005 hadi 2012 na ni kubwa zaidi, luxury, na ipo technological advanced zaidi ya E46.

View attachment 880000
E90 zipo zenye body tofauti tofauti pia. Kuna E90 sedan, E91 Touring, E92 Couple na E93 Couple. Wewe tu unachopenda.
Engine size zipo za ukubwa kuanzia cc1600 hadi 4000 na kuna 4 Cylinders 6 cylinders na V8 pia (///M version).
Ni gari nzuri sana kwa muonekano, nje na ndani, pia perfomance yake na fuel economy iko vizuri. Usidanganywe na ukubwa wa engine, ulaji wa mafuta upo vizuri tu.

Ukitaka kununua hii E90 nashauri ununue kuanzia mwaka 2009 kwakua ndio LCI Facelift ilifanyika kwa kuboresha zaidi hii gari. Pia kuna maneno maneno kua 320i ambazo ni 4 Cylinders (zina engine N46B20s)ni worse model ya hii generation. Kwahiyo watu wengi wanashauri ununue 6 cylinders (mfano 325i, 328i, 330i etc) ambazo zinatumia engine ya N52, N53. Pia Turbo models N54 na N55 i6 watu wanazipinga wanasema zina matatizo.

Kwa Tanzania tunakutana sana na 320i ambazo zina run smooth tu na hazina shida, so hayo maneno ya watu sio ya kuyapa kipaumbele sana.
**watu=Wachangiaji mbalimbali katika forums mitandaoni, sio lazima wawe Watanzania.

CIF ya hii gari ni Mill 9 na inaweza kufika hadi Mil 14 kwa base models, ila ukitaka zenye mbwembwe zaidi uta pay zaidi.
Ushuru wa hii unaanzia Million 9 na unaenda hadi Million 13. Itategemeana na sababu mbalimbali.

F30
Hii ndio current generation ya BMW 3 series hadi leo tunavoongea hapa. Ni maboresho ya kila makosa na mapungufu yaliyowahi kujitokeza katika magari yaliyopita. Liko perfect! F30 ni sedan, F31 ni Touring/Estate wagon, F34 fastback na F35 ni sedn ila ina long wheel base.
F30 zimeanza kutoka 2013 hadi leo, tunategemea zitapokelewa na G20 kuanzia mwakani 2019.
F30 zote ni turbo charged, na hapa BMW wali introduce hadi 3 cylinders na hawajawahi kuweka F30 yenye V8 ata M sports Model. Pia katika F30 ndio wali introduce plug-in-hybrid ya kwanza katika 3 series mwaka 2016.

View attachment 880023

Mkuu sorry Kama unaweza ebu zungumzia kidogo BMW Xseries, kupitia ule uzi wa Mshanajr tumebadili mawazo na tunataka kuondokana na Toyota.
Pia binafsi nazipenda Sana gari za station wagon.
 
Maisha yetu ya kibongo tunaogopa European cars ingawa ni durability na liability .
Kwa upande wangu nilikuwa natamani sana crown athlete lakini baada ya kuendesha subaru foresta hii itakuwa gari siku moja mungu mkubwa
 
E90 320i ilisumbua kidogo models za mwanzo kabla ya 2009, na inayosumbua zaidi ni 320d. Ila vile tunanunua used cars, mara nyingi zile common problems zinakuwa zimesharekebishwa na mtumiaji wa kwanza na wa pili ambao mara nyingi wanafanya repair wakati gari liko kwenye warrant bado. Ila 325i na hasa 328i zinasifiwa na wengi kuwa ziko poa. Sisi tunaziogopa kwa vile tunaona cc nyingi.
 
Shida kubwa ya E46 ni front wishbone. Ikifa ball joint inabidi ununue wishbone nzima,kwa hela za mawazo ni changamoto.

E90 afadhali wameweka control arms moja moja.
 
Asante kwa kutujuza,naomba nijuze kuhusu Subaru Foresta ya mwaka 2009
Wakuu Habari.

Leo nilipenda tujuzane kidogo kuhusu BMW 3 Series. Kila mtu aliewahi kumiliki au kuendesha au ata kama kuna fundi aweze kutupatia Experience yake kidogo kuhusu hizi gari. Hii itawasaidia waliokua na wazo la kununua hizi gari au wamiliki waweze kupata mwongozo zaidi.

Mi nitaanza kidogo na Historia ya BMW 3 series.

Hadi sasa 3 Series imeshatengenezwa katika generations (models) 6 ambazo ziko sokoni, E21, E30, E36, E46, E90, F30 na Model ya 7 ni G20 ambayo itaanza kua sokoni 2019. BMW 3 Series zinakuja kwa bodystyles 5 ambazo ni Sedan, Couple, Hatchback (hii sio common sana), convertible na wagon. Pia zina engine size tofauti tofauti kuanzia cc za chini (1500cc) hadi za juu (4000cc), zipo cylinders 3-inline, 4-inline, 6-inline na v8, na zipo petrol, diesel na hybrids models, na zipo special editions zenye package ya ///M Sports. Pia kuna manual na Automatic gearbox.
Kwa leo ningependa tuongelee Model tatu tu ambazo ni common, E46, E90 na F30.

E46

Nadhani hii ndio BMW 3 Series common zaidi Tanzania, na ndio moja kati model ambayo watu wengi duniani wanaisifia kuanzia durability na driving experience. Ukiwa una search kwenye website za kuuza magari, hawatakuambia hii ni E46, ila utajua kwa mwaka uliotengenezwa. E46 ilitengenezwa kuanzia 1997-2005, ikapokelewa na E90.
Mara nyingi tunakutana nazo E46 ambazo ni 318i zenye engine ya N46B20 au N42B20 zote ni 4 Cylinders.

View attachment 879995
Ukitaka kununua E46 nashauri ununue kuanzia mwaka 2001 kwenda mbele, kwakua BMW wanatabiia ya kuboresha 3 series kila baada ya miaka mitatu (LCI aka Facelift) kwa kurekebisha vitu vidogo vidogo kuanzia muonekano na perfomance.
Kwenye website za kuuzia magari, CIF ya E46 ni kati ya Million 5 hadi 7 na kuendelea kutegemeana na hali ya gari.
Ushuru wa TRA kwa E46 utakua kati ya Million 6 hadi Million 8 hivi kutegemeana na umri wa gari, engine size na aina ya mafuta.

E90
Kutokana na watu wengi sasa kupenda luxury cars, BMW wakachange uelekeo na kuanza kutengeneza magari luxury zaidi kutoka E46 ambayo ilikua na muonekano wa "kigumu". E90 zilitengenezwa kuanzia 2005 hadi 2012 na ni kubwa zaidi, luxury, na ipo technological advanced zaidi ya E46.

View attachment 880000
E90 zipo zenye body tofauti tofauti pia. Kuna E90 sedan, E91 Touring, E92 Couple na E93 Couple. Wewe tu unachopenda.
Engine size zipo za ukubwa kuanzia cc1600 hadi 4000 na kuna 4 Cylinders 6 cylinders na V8 pia (///M version).
Ni gari nzuri sana kwa muonekano, nje na ndani, pia perfomance yake na fuel economy iko vizuri. Usidanganywe na ukubwa wa engine, ulaji wa mafuta upo vizuri tu.

Ukitaka kununua hii E90 nashauri ununue kuanzia mwaka 2009 kwakua ndio LCI Facelift ilifanyika kwa kuboresha zaidi hii gari. Pia kuna maneno maneno kua 320i ambazo ni 4 Cylinders (zina engine N46B20s)ni worse model ya hii generation. Kwahiyo watu wengi wanashauri ununue 6 cylinders (mfano 325i, 328i, 330i etc) ambazo zinatumia engine ya N52, N53. Pia Turbo models N54 na N55 i6 watu wanazipinga wanasema zina matatizo.

Kwa Tanzania tunakutana sana na 320i ambazo zina run smooth tu na hazina shida, so hayo maneno ya watu sio ya kuyapa kipaumbele sana.
**watu=Wachangiaji mbalimbali katika forums mitandaoni, sio lazima wawe Watanzania.

CIF ya hii gari ni Mill 9 na inaweza kufika hadi Mil 14 kwa base models, ila ukitaka zenye mbwembwe zaidi uta pay zaidi.
Ushuru wa hii unaanzia Million 9 na unaenda hadi Million 13. Itategemeana na sababu mbalimbali.

F30
Hii ndio current generation ya BMW 3 series hadi leo tunavoongea hapa. Ni maboresho ya kila makosa na mapungufu yaliyowahi kujitokeza katika magari yaliyopita. Liko perfect! F30 ni sedan, F31 ni Touring/Estate wagon, F34 fastback na F35 ni sedn ila ina long wheel base.
F30 zimeanza kutoka 2013 hadi leo, tunategemea zitapokelewa na G20 kuanzia mwakani 2019.
F30 zote ni turbo charged, na hapa BMW wali introduce hadi 3 cylinders na hawajawahi kuweka F30 yenye V8 ata M sports Model. Pia katika F30 ndio wali introduce plug-in-hybrid ya kwanza katika 3 series mwaka 2016.

View attachment 880023

Kama uchumi sio tatizo, ni gari zuri la kununua. Especialy XDrive na turbo walivozi equip, vimefanya kuendesha gari iwe starehe zaidi. Na Facelift/LCI ilifanyika kuanzia models za 2015 na walifanya maboresho zaidi katika technology, perfomance na muonekano.
F30 ina trim (lines 3) kuna base-line, sports, na luxury kutegemeana na matakwa ya mteja.

Ushuru wake umechangamka sana inafika hadi Mill 15 na CIF zake pia ni above Mil 16.

HITIMISHO
Nimeandika kwa ufupi ila nategemea wadau wataongezea na kwingine watanikosoa. Kwa kukumbushana tusiwe na uwoga kwamba BMW cars ni kichefu-chefu, kwamba zikianza kuharibika zinasumbua. Ni kweli, ila pindi ukiifanyia service ipasavyo, na kwa wataalamu waliobobea, hautaona likisumbua sumbua.

Kuna mdau Mshana Jr alianzisha Uzi hapa ukiwataka kubadirisha mtazamo juu ya BMW na wadau mbalimbali walichangia mawazo yao na ushuhuda, unaweza kuupitia ukajifunza zaidi.

Karibuni.
 
Nimechelewa kuiona hii. Ila kama ndio first car na kipati chako cha Mtanzania wa kawaida, anza na Japan kwanza kisha la pili utachukua Germany.
First of All Hongera Your good hasa Kwenye Uchambuzi wa Magari.

Sorry Kwa First Car Owner mwenye bajeti ya 15Ml unamshauri achukue Gari gani...?

SIFA:
1. TOYOTA
2. SUV (I hate Sudan)
 
Kwa budget hiyo, utapata SUV kwa tabu kwa sababu SUV nzuri za Toyota ni Rav 4, Vanguard, Kluger, Rush, Cami, Voltz, Harrier, Fortuner, Prado etc.

Sasa kwa budget hiyo hapo kuna Cami na Voltz ndio zinakuja kuja.

Ningekua mimi ningeongeza dau kidogo halafu nikawiden choices hadi Subaru Forester XT, Mitsubishi Outlander, Nissan Dualis au Nisssn Murano.
 
Back
Top Bottom