Karibuni Mafia Festival, fursa za utalii na uchumi wa buluu

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
877
1,185
Follow this link to join my WhatsApp group: MAFIA ISLAND FESTIVAL

Hili ni kundi maalumu kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Mh Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukuza utalii na uwekezaji nchini na muendelezo wa Royal Tour kupitia maandalizi, hamasa na taarifa za Mafia Island Festival inayotarajia kufanyika kuanzia terehe 6.12.2024 hadi 8.12.2024.

Karibuni sana, watanzania wote katika kisiwa cha Mafia chenye fursa tele kwa ajili ya furaha, burudani na mapumziko baada ya hekaheka za uchaguzi na maisha kwa mwaka mzina.

Kauli mbiu "Wekeza katika uchumi wa blue na utalii kisiwani Mafia"
 
Back
Top Bottom