kumbe hata wewe?That why I don't want like politics
Afu sijui kwanini CDM kama chama cha siasa kimekosa hoja ya ki siasa mpaka kuamua kukimbilia rambi rambi. Aisee nyie ni fungu la kukosa..Ukweli mmeukubali kwamba ninyi ni "wabugiaji nguli" wa rambirambi. Mtapata baridi ninyi na vizazi vyenu.
Hahahahaaa! Yaani jitu libugie rambirambi (jus'imagine, rambirambi), halafu isiwe hoja? Are you serious? Hii ni hoja kubwa sana!Afu sijui kwanini CDM kama chama cha siasa kimekosa hoja ya ki siasa mpaka kuamua kukimbilia rambi rambi. Aisee nyie ni fungu la kukosa..
Wanaowapa kura wanaleweshwa ulanzi,pilau na mziki wa totCCM ina wenyewe bwana.. Jana nilikuwa kwenye msiba wa rafiki yangu mmoja wa CCM nikawa naona tu kada huyu kaja na Range Rover kule kada yule kaja na VX V8 mara mwingine kaja na Prado TX.. Hao ndio wenye CCM wakati wengi wa wanaowapa kula na kura ni wajinga fulani wasio na elimu wala exposure zozote..
Hii picha niya kumdhsririsha huyu mtoto.unamtumia km kielelezo cha umaskini.lkn naamini wewe mawazo yako ndio ya kimaskini.aina hii ya maisha ss ndio tumekulia na kuchunga ng'ombe.lkn leo hiyo imebaki kuwa ni historia.uvivu wako wa kuchapa kz na ugoigoi wa kufkili mbinu sahihi za kikutoa ndoo unakufanya uendelee kuwa maskini na fukara.endelea kuisubilia ccm ikuletee neema.kalagabaho.endelea kulalamika.mchawi wa maisha yako ni wewe.sio ccm.kweli ccm raha sana jamani