Karibu upate msaada na kufungiwa dripe

teachernoel

Member
Jun 1, 2016
44
3
ukitaka kufungiwa drip popote pale ulipo kwa bei nafuu na maelekezo ya kilimo Namba ni .0784735133.
 
dripe kwa hekari moja inategemea na unaitaji single line.au dable kama ni single itagarimu roller mbili na kama ni duble itagarimu roller 4 kwa maelekezo zaidi namba hizo hapo juu.
 
ukifungua hiyo picha hapo utaona dripe dabble line.
 

Attachments

  • 1465401866814.jpg
    111.7 KB · Views: 92
vitu ambavyo ina corntaine ni kama 1 filter hii ni kwa sababu ya kuchuja maji yasiweze kuziba kwenye dripe yako. 2 bomba za kuonganisha dripe zako, kazi ya hizi bomba zinatoa majia kwenye chanzo kufikishia dripe yaani ndio zina saplai,3 kuna conector za kufunga dripe mwisho wa tuta ili kuziba maji yasitoke tofauti na kwenye dripe link. hivyo ndio vitu vinavyo kwenda na dripe line irrijetion.
 
nashukuru wazo lako zuri, lakini ndio maana nimetoa namba ya simu, ASANTE.
 
Nashukuru kupokea cm nyingi za wateja, kunawanye ulizia dripe za gaden.


zipo dripe zake.

naukiwa unanyesha gadeni kutumia maji ya dawasko aunaja yakutumia Pump bali utatumia tank na ukubwa wa eneo ndio utakupa ni tanki kiasigani.

Kama ni maji kutoka mtoni, mabwawani, visimani, hapo unalazimika kununua PUMP. Asanthe.
 
Kwa hiyo hivyo vyote gharama ni Tsh ngapi?
 
Hapo ndio jinsi kazi ya dripe plan inavyo fanywa na hayo unayo yaona ndio bomba za ku supply maji kwa dripe, karibu UFUNGIWE NA WW UWE MKILIMA KISASA.
 

Attachments

  • 1465493605525.jpg
    175.8 KB · Views: 78
HAPO kwa hiyo picha unaona hiyo bomba kazi yaiyo bomba nikupokea maji kutoka mtoni na kusafiri kwenda moja kwa moja kwenye dripe, unaona kuna vitu vekundu viwili hivyo ni koki zakuruhusu kunye shamba A au shamba B. namengineo tele utapata utakapo taka kulima kisasa. TUPO KWA AJILI YAKO NAMBA ZIKO HAPO PIGA UTAUDUMIWA.
 

Attachments

  • 1465493825883.jpg
    140.2 KB · Views: 81
Kwa watakao tumia mfumo wa kisima kisima chako baada ya mafundi kufanya plan ya shamba lako likae kwa jinsi gani, itakuwa hivyo. KARIBU mafundi tupo kwa Ajili yako ulime kisasa na kiuakika zaidi.
 

Attachments

  • 1465561623144.jpg
    105.3 KB · Views: 77
Na faifada ya dripe unapo nyesha shamba lako baada ya kupanda unatumia maji kwa uraisi zaidi na mda mfupi na machache, hizo ni sifa zautumiaji wa maji wakati una nyesha 2 sifa ya pili kwa wale walio katka milima milima maji aya chukui udongo yanaifadhi. 3 Faida ya tatu mbolea inachukulowa kiuwakika zaidi ya kunyeshea kawaida. 4 Faida ya nne mavuno yake ukiyatunza unavuna kiuwakika hatakama ujatumia mbegu ya high bridge una vuna kiuakika zaidi maadamu utunze ikishirikiana na miundo mbinu ya unyeshaji. ASANTE sana usichelewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…