Karibu tukujengee Mashimo ya choo ya kisasa yasiyojaa

stabilityman

JF-Expert Member
Jul 9, 2024
250
472
Tupigie 0615813053 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe

✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA
📍HAVIJAI KABISA
📍HAVITOI HARUFU
📍HUCHUKUA ENEO NDOGO
📍 GHARAMA ZETU NAFUU SANA
📍HUJENGWA NDANI YA SIKU NNE
✍️Kwa mfumo wa shimo moja Bei 1,000,000 tu ambayo inajumuisha fundi pamoja na material kwa shimo 1
✍️Kwa mfumo wa mashimo mawili Bei 1,500,000 Tu ambayo inajumuisha fundi pamoja na material.
Mifumo tunayo aina 2
Mfumo wa kwanza kama eneo lako ni kavu.
Mfumo wa pili kama eneo lako lina chemichemi
Ofisi ipo banana.Tunauzoefu wa miaka mingi

CONTACT US
📞0615813053
KARIBUNI SANA
 
Attachments

  • 1720714341256.jpg
    1720714341256.jpg
    478.5 KB · Views: 14
  • 1720714348680.jpg
    1720714348680.jpg
    466 KB · Views: 13
  • IMG_20240705_184640_668.jpg
    IMG_20240705_184640_668.jpg
    1.9 MB · Views: 11
  • 1718774394500.jpg
    1718774394500.jpg
    511.9 KB · Views: 10
  • IMG_20240705_174932_626.jpg
    IMG_20240705_174932_626.jpg
    3.1 MB · Views: 11
  • FB_IMG_17095863510273002.jpg
    FB_IMG_17095863510273002.jpg
    147.1 KB · Views: 14
Ofisi namba 0743257669
 
Attachments

  • IMG_20240715_180749_020.jpg
    IMG_20240715_180749_020.jpg
    2.9 MB · Views: 14
Tupigie 0615813053 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe

✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA
📍HAVIJAI KABISA
📍HAVITOI HARUFU
📍HUCHUKUA ENEO NDOGO
📍 GHARAMA ZETU NAFUU SANA
📍HUJENGWA NDANI YA SIKU NNE
✍️Kwa mfumo wa shimo moja Bei 1,000,000 tu ambayo inajumuisha fundi pamoja na material kwa shimo 1
✍️Kwa mfumo wa mashimo mawili Bei 1,500,000 Tu ambayo inajumuisha fundi pamoja na material.
Mifumo tunayo aina 2
Mfumo wa kwanza kama eneo lako ni kavu.
Mfumo wa pili kama eneo lako lina chemichemi
Ofisi ipo banana.Tunauzoefu wa miaka mingi

CONTACT US
📞0615813053
KARIBUNI SANA
Mfumo wa choo unahitaji mashimo mangapi?
 
Hapo juu umesema shimo moja Tsh 1M, na shimo lingine bei nyingine, na mfumo wa choo ni mashimo mawili inakuwaje?
Na best performance ni kama utaweka mashimo 2.
Mashimo yote yanafanya kazi sawa ila kama ukiweka 2 ufanisi unaongezeka na moja likizidiwa lingine linasaidia kazi.
Kwahiyo kumshuri mtu huwa tunamwambia kama balance yake iko vizuri atumie mashimo 2
 
Nashukuru kwa majibu, maji ya mvua ikinyesha yana athari gani kwa mfumo huu wa choo?
 
Mfumo wenu unafaa sehemu yenye maji maji? Yaani baada ya mvua kidogo tu shimo linajaa. Mnatatuaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom