sawaOukay, wacha nizurule kwanza nitarudi sa5 na kuanzia dakika45 hivi
Wewe usiku huu unazurulia wapi mtoto wa kike?Oukay, wacha nizurule kwanza nitarudi sa5 na kuanzia dakika45 hivi
Humuhumu majukwaani mkuu,. Nina pakwenda sasa😂Wewe usiku huu unazurulia wapi mtoto wa kike?
Kumekucha 😹😹
Namaanisha Humu jukwaani friend😄😄sawa
unazururia wapi kadada
Humu JF sio pa kupaamini kila mtu anaongea anachojisikia, hawajawahi hata kumuona huyo coca wamemkomalia mwanaume.!!
Haya kuwa makini huko. Usije kuparamia nyanya kwenye magenge ya watuHumuhumu majukwaani mkuu,. Nina pakwenda sasa😂