Naomba uweke maelezo zaidi (details). Asali ipo mkoa gani. Je, unaweza kuniletea mkoa wowote nilipo?Karibu nikuuzie asali mbichi safi ya nyuki wakubwa
Dumu Lita 20 kwa bei ya 170,000/= tu karibuni Sana.
Asante ila weka mawasiliano kwa ajili ya kukupa order.Yes mkoa wowote natuma ni Asali ya Tabora
ktk jibu lake naomba unitag natanguliza shukuraniJe lita moja unauza?