Mpare wa Gonja
Member
- Feb 26, 2014
- 52
- 46
Lazima afanye kazi kweli kweli mjini kuruhusu gari chakavu ni hatari sana. Mji unachakaa kila siku na mabadiliko ni madogo mno japokuwa aliyepita alijaribu kurudisha nidhamuNakukaribisha mkuu wa mkoa mpya hapa Kilimanjaro.Tuna changamoto zetu kule Rombo za kupombeka lakini hapa mjini daladala(Hiace) zinazotoa huduma nyingi zilipaswa ziwe dampo au kufanywa vyuma chakavu.
Hakuna hata daladala moja inayofanya safari za humu mjini zinazo kuwa na tiketi sasa sijui hao SUMATRA kama wanalijua hili.
Karibu tu changamoto nyingine utajionea mwenyewe.
Mkuu mpya wa mkoa...Kilimanjaro sio mkoa mpya.Nakukaribisha mkuu wa mkoa mpya hapa Kilimanjaro.Tuna changamoto zetu kule Rombo za kupombeka lakini hapa mjini daladala(Hiace) zinazotoa huduma nyingi zilipaswa ziwe dampo au kufanywa vyuma chakavu.
Hakuna hata daladala moja inayofanya safari za humu mjini zinazo kuwa na tiketi sasa sijui hao SUMATRA kama wanalijua hili.
Karibu tu changamoto nyingine utajionea mwenyewe.
Asante mkuu,Nilimaanisha MKUU MPYA WA MKOAMkuu mpya wa mkoa...Kilimanjaro sio mkoa mpya.
bora mkuu umeona..ingekuwa kiingereza tungesema kimekuja na meli..na hiki je?Mkuu mpya wa mkoa...Kilimanjaro sio mkoa mpya.