Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
1,178
759
Karibu kwenye Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 48 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yatakayofanyika Katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma Tarehe 05 Februari 2025

Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

 
Asanteee Sasa nataka kupanda yale mabasi Nipo Kakonko Naomba kujua ruti...
 
UJINGA wa namna hii ndiyo maana trump amesitisha pesa zake..
Haiwekani birthday ya mama atumie zaidi ya milioni 150 hii ni kufuru Kwa maisha haya ya Tanzania, huu ni upumbavu na kukosa Akili
 
Back
Top Bottom