MKUTANO WA AFYA YA JAMII KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA DAWA NA VIPODOZI
(AFYA, DAWA, UZURI, UREMBO NA VIPODOZI)
AGENDA
- MAMBO YA MSINGI ILI KUWA NA AFYA NJEMA
- KUWA NA UZURI NA UREMBO UNAOTAKA BILA KUDHURU MWILI
- MATUMIZI SAHIHI YA DAWA NA VIPODOZI
- VIPODOZI VISIVYO SALAMA NA MADHARA YAKE
- USHAURI WA AFYA, UZURI, UREMBO NA VIPODOZI
SIKU : JUMAMOSI , TAREHE 30/07/2016
MUDA : SAA 4:00 ASUBUHI – SAA 7:00 MCHANA
MAHALI : CRYSTAL PALACE HOTEL
ILALA BUNGONI, DAR ES SALAAM
HAKUNA KIINGILIO. NI BURE KABISA
Jiandikishe sasa kwa kupiga simu au kutuma meseji kwenda namba 0659528724 au 0784082847. Weka nafasi yako mapema kwani nafasi ni chache. Mwisho wa kujiandikisha ni siku ya Alhamisi ya tarehe 28/07/2016.
E-mail :
tecetra@gmail.com
KILA MTU ANAKARIBISHWA …….