Prof_Adventure_guide
Member
- Dec 21, 2023
- 93
- 179
Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot Springs kwa gharama nafuu sana zaidi
Kwa TZS 35,000 unaweza kwenda kupumzusha akili katika paradiso ya maji moto
Kwa TZS 35,000 unaweza kwenda kupumzusha akili katika paradiso ya maji moto