KARAGWE: Moto wateketeza soko la Kayanga Karagwe

mtumbuavipele

Member
Dec 22, 2015
17
27
Moto ambao chanzo chake hakijabainika unatejeteza vubanda vya biashara hapa katika soko kuu la kayanga Wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera, hii ikiwa ni mara ya pili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.

Zima moto wanajitahidi ila changamoto ni ujenzi holela.
1483774072459.jpg
1483774047132.jpg
 
Bila shaka huo ujenzi holela umekuzuia hata kupata kapicha kamoja!
 
Mto ngono kagera; ukimwi kagera, katerero kagera, tetemeko kagera; uwanja Wa fisi wanahisa wengi ni kutoka kagera; na huo moto unawaka soko LA kagera!!!! Hao zima moto wauache tu maana watu wanatakiwa kuwa na fire extinguisher wazime wenyewe! Wasitegemee jeshi LA zima moto....ardhi ni ya kijani
 
Wafwaaaa
 
Dadeki
 
Pole kwa wahanga hahaha inachekesha sana hadi katelelo na majina ya vitu vingine watu wanaviolozesha kwenye majanga yaani Wabongo bana masoko mengi tu yanateketeaga tena makubwa kuzidi hilo watu wanaishia kusema pole kwa waliounguliwa vitu vyao sasa BK limekuwa bonge la janga watu hata picha hawajaona yaani tudsipojirekebisha itafika mahali ikitokea ajari ata ya bodaboda itakuzwa tu ilimradi mkoa uonekane unaongoza kwa majanja
 
Moto wateketeza maduka Kayanga Kagera yaani ni huzuni juu ya majonzi hali ni mbaya vibaya njaa nayo inapiga hatari haya ni matokeo ya kuchoma makanisa Mungu naye kajibu.
1483774047132.jpg
1483774072459.jpg
 
Duh! Poleni sana ndugu zetu wa Kagera kwa majanga. Mungu awafanyie wepesi. Angalizo: msitarajie makubwa toka serikalini isipokuwa kama mtakuwa mmesahau majibu mliyopata toka kwa mkuu.
 
Mto ngono kagera; ukimwi kagera, katerero kagera, tetemeko kagera; uwanja Wa fisi wanahisa wengi ni kutoka kagera; na huo moto unawaka soko LA kagera!!!! Hao zima moto wauache tu maana watu wanatakiwa kuwa na fire extinguisher wazime wenyewe! Wasitegemee jeshi LA zima moto....ardhi ni ya kijani
Nonsense
 
Hahaha kweli mkuu, umesahau kata ya Ngono...

Wasubiri jibu la kuubeba msalaba wao maana serikali haijaleta huo moto
 
Back
Top Bottom