Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Habari zenu wandugu,
Naombeni mnisaidieni kwa hili.Kuna dada mmoja nilifahamiana nae katika pitapita za mjini kwa hulka yangu na matashi ya kimwili kuwa na matamanio nikawa nimempenda nae akawa amenielewa kwa haraka kuliko nilivyofikiri.Basi tuliyaongea tukayamaliza tukapanga meeting park at home kilichoendelea hapo tulifanya mapenzi, basi kuanzia siku hiyo akawa amenogewa sana kila siku lazima aje nyumbani.
Mahusiano yetu hayo yalidumu kwa mda wa wiki mbili na siku kama tatu hivi nikawa nimeyasitisha kutokana na majukumu yangu ya kikazi kutokwenda vyema kwa sababu yake.anataka nimuache nyumban kama mke alieolewa wakati mahusiano yenyewe hayana hata mwenzi, ilinibidi nimwambie pita zako hivi tusijuane sababu nilimlipa pesa.
Baada ya kuachana nikwa namuona mitaa flani ya kujiuza ndipo nilipogundua huyu dada ni Malaya mzoefu.Miezi miwili imepita sasa ananiambia ana mimba yangu ameng'ang'ana na kutangaza mitaani kwamba mimba yangu akija nyumbani ni fujo tu ananiletea hadi naona kero kiukweli huyu Dada simpendi nilikosea tu.
Naombeni ushauri.