Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,483
Zinaitwa FURU. Ukila sana zinakufanya uwe mnafiki, mwenye visasi na mpenda sifa...matunda mabaya sana hayo
Mi nkajua ni zenyewe ila hazijaivaFuru na sungwi ni tofauti,sungwi zina ukakasi hazina utamu ila kauchachu kake lazima uchekecheke na kukunja sura.
Furu ni ndogo nyeusi niliziona na kuzionja dodoma sikuziweza.
Jimonjo! Majita moja!Kinondoni tunayaita MASURUJI, tunatumia mbegu zake kufora monjo.......
Aaah acha zako bhana.Kinondoni tunayaita MASURUJI, tunatumia mbegu zake kufora monjo.......
Musoma kabisa??Aaah acha zako bhana.
Hii masuruji na kufora monjo tumeitumia MUSOMA ,
Musoma kabisa??
inatumiwa kinondoni huku maeneo ya Buhare, Nyasho na Kigera asee.
usisahau, nyarigamba, makoko centre, bukanga...
Usinikumbushe enzi zangu za monjo na gololi (jaga)
Mkuu furu ndio zile tamu na nyeusi ila ndogo sisi tuliziita UPURUFuru na sungwi ni tofauti,sungwi zina ukakasi hazina utamu ila kauchachu kake lazima uchekecheke na kukunja sura.
Furu ni ndogo nyeusi niliziona na kuzionja dodoma sikuziweza.
hiyo kanda naichukia kwasasa kwasababu imeproduce mtu anayetesa watz. yeye na mtoto wake hata hawajui kama wameshika dhamana tu na 2020 ipo karibu.