Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,052
- 23,501
Nayaomba makampuni ya simu yote, nchini kwetu, yaimarishe pin zake katika huduma za kifedha, badala ya 1234 au 1978 au 1785, waboreshe na kuwa #25j au@@01 au%21@ hili litasaidia sana katika kuimarisha usalama kwa huduma za wateja wenu kifedha.
Inshaallah!
Nambari pekee zimekuwa easy to be predictable na matapeli.
Inshaallah!
Nambari pekee zimekuwa easy to be predictable na matapeli.