Kampuni ya BAM International yasimamisha ujenzi wa Terminal III

casagrande

Member
Jun 21, 2016
42
32
Kampuni ya Bam International ya uholanzi yenye kandarasi ya kujenge terminal III katika airport ya JK Nyerere inategemea kusimamisha ujenzi huo kuanzia leo saa nane mchana kutokana na serikali kushindwa kulipa pesa za ujenzi wa jengo hilo.

Hivyo kuanzia kesho wafanyakazi zaidi ya 450 watasitishiwa mikataba yao ya kazi.

Mungu Iokoe Tanzania
 
Wasitubabaishe waondoke kabisa waje SUMA JKT wamalizie ujenzi. Halafu kwa muda wa kumalizia Bombadier ziwe zinatua uwanja wa taifa.
 
Back
Top Bottom