Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,205
- 1,523
Rais nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Pole na heka heka za NYERERE day, huku mwenge, pamoja na kufanyia kazi mafaili mbalilimbali yanakuwepo kila siku juu ya meza Yako.
Hakika Mungu akutie nguvu na akuponye na kikohozi pamoja na mafua yaliyokutinga jana pale mwanza, bila shaka timu Yako ya usalama wa taifa jana walishindwa kuwa ajibika vizuri.
Leo pia kama kawaida yangu nakuja na ushauli juu ya kampeni maneja wa uchaguzi mkuu mwakani 2025.
Bila shaka mda umebakiwa nao mdogo sana kuelekea uchaguzi mkuu hivyo maandalizi ni muhimu sana, tena sana
Hamphrey pole pole akiwa mbele kuongoza timu ya kampeni meneja kuelekea ushindi wa uchaguzi mkuu 2025. wakisaidiwa na Luhaga mpina, na prof.kitila mkumbwa pamoja na Ally bashiru.
Rais, mwakani kama utaendelea na 4R, ni muhimu kuwachukua hawa watu wote I'li uweze kushinda asubhuhi na mapema,hawa watu mh.raisi wanaweza siasa za kimkati( strategies makers) na za juakwani( persuasive power).
Rais kwanini uwachukue hawa watu wote wanne?
1. Wote wanne wanasifa ya kuwa waadilifu, na ni wachapa Kazi sana.
2. Wote ni vijana wananguvu za kuhimili mikiki mikiki ya kuzungunga Tanzania mzima.
3. Wote wanaelement za uzalendo kiasi kwamba wananchi wengi wanavutiwa na hutuba zao majuakwani.
4. Wote wanajua kujenga hoja na kutetea hoja,za kuweza kupambana na hoja za wapinzani wako.
5. Sehemu zao wanakotoka zitasaidia kuunga mkono zaidi.
Rais kama utaamua" kuachana na 4R" Paul Makonda anakufaa kuwa timu meneja wako, mimi hili sikuungi mkono ni afazali ustafu siasa kwa sabb ya masilai mapana ya taifa letu pendwa.
Rais hawa wasipande kabisa jukwaani kwenye kampeni zako za mwakani, Paul Makonda, January Makamba, Mwigulu Nchemba, Steven Wasira, Tulia Ackson, Nape Nnauye. Rais wananchi wamewachoka sana kutokana na kauli zao na kujitukuza ni kwa ajili ya masilahi mapana ya Taifa letu. Nawasilisha
By mwinjilist Gabeji.