Aliyekwambia wachezaji hawajalipwa nani? Pele majungu yako kwa mambumbumbu wenzio hukoWalipe mishahara ya watu kwanza
Tuko pamoja mwana Yanga damu!!Wachezaji kama Busungu, Mateo Anthon, Makapu ni kiwango caha mchangani,...
Ngoma nizamu F, Mahadhi kasharidhika, Canavaro na Oscar Joshua washazeeka...
Yanga Sasa watafute kiuongo mkabaji wakueleweka, pia na mshambuliji mpambanaji mwenye uelewa na goli....
Baki wa kushoto kuna umuhimu wa mtu kupambania namba na Haji Mwinyi....
Wafanye yote wa mbakize Niyonzima fundi.....
kwa saidi makapu siungi mkono hojaWachezaji kama Busungu, Mateo Anthon, Makapu ni kiwango caha mchangani,...
Ngoma nizamu F, Mahadhi kasharidhika, Canavaro na Oscar Joshua washazeeka...
Yanga Sasa watafute kiuongo mkabaji wakueleweka, pia na mshambuliji mpambanaji mwenye uelewa na goli....
Baki wa kushoto kuna umuhimu wa mtu kupambania namba na Haji Mwinyi....
Wafanye yote wa mbakize Niyonzima fundi.....
By jumatatu hadi saa 4 watakuwa wameshalamba mshahara wao mnonoWalipe mishahara ya watu kwanza
Yanga inaongozwa na wasomi tofauti na wanaoongozwa na NANARA DUGU YEEETUUUUUYanga ni timu isiyo na pupa wala papara acha wa matopeni waweweseke sisi tunafanya mambo kwa uhakika...
Ujumbe umefikaAliyekwambia wachezaji hawajalipwa nani? Pele majungu yako kwa mambumbumbu wenzio huko
Hicho cheo alikitoa mwenyekiti wao mstaafuAchana nae huyo mbumbumbu fc
Wazo zuri sana mkuunashauri kwenye michuano ya sport pesa tuwatumie vijana wetu akiwemo Saidi Bakari aliyekuwa Gabon. Ili tuone wakuongeza
Canavaro anaweza kubakia kama kiongozi uwanjani kwa wachezaji wenzakeWachezaji kama Busungu, Mateo Anthon, Makapu ni kiwango caha mchangani,...
Ngoma nizamu F, Mahadhi kasharidhika, Canavaro na Oscar Joshua washazeeka...
Yanga Sasa watafute kiuongo mkabaji wakueleweka, pia na mshambuliji mpambanaji mwenye uelewa na goli....
Baki wa kushoto kuna umuhimu wa mtu kupambania namba na Haji Mwinyi....
Wafanye yote wa mbakize Niyonzima fundi.....
DAIMA MBELE NYUMA MWIKOTuko pamoja mwana Yanga damu!!
Nivema kutoa mchango wako wa mawazokwa saidi makapu siungi mkono hoja
Daaaaa hiyo ya sh 2 billion za usajiri ni kweli?Maana tunaaminishwa kuwa yanga sasa hakuna notiKamati ya usajili ya timu ya Yanga maarufu kama wakimataifa imekaa na kuazimia yafuatayo.
1.Kusajili wacheza vijana zaid.
2.Kusajili wachezaji wenye viwango
3.Kuwatema wachezaji wasio na mchango kwenye timu
Mbali na hayo kama imeeleza kuwa usajili utafanyika kimya kimya na kuweka wazi baada ya usajili.
Kamati ya usajili imesema ina fungu la 2.4bilion kwaajili ya usajili.
Wapenzi,wanachama na mashabiki msiwe na shaka.
Ni mawazo tu mkuu ila ukweli usiofichika Makapu ni wa kawaida sana ndo maana mara nyingi Kamusoko au Mkata umeme wanacheza zaid nafasi yake japo si viungo wakabaji.....kwa saidi makapu siungi mkono hoja