Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,037
- 4,752
Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi?
Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au baadhi ya viongozi wanajipa madaraka wasiyokuwa nayo kisheria?
Tujadili