Nimeona watu wakilalamika kuwa kwann ripoti imetoka wakati haina upande wa pili ambao ni Makonda!Hapa Makonda amekwepa mwenyewe kutoa ushirikiano kwa kamati kufikia hadi kuwatoroka ofisini kwake!
Lakini pia tujikumbushe kamati ya Mwakyembe juu ya Richmond,hawa walisafiri mpaka marekani lakini hawakumuhoji lowassa ambaye alikuwa tayari kutoa ushirikiano!Kamati iliwasilisha ripoti bungeni bila maelezo ya lowassa!Mwenyewe alilalamika kwa kutohojiwa na kamati!
Tuache double standard!
Walienda saa 5,wakaambiwa RC ana mgeni!Wakasubiri,saa 6 na nusu,wakaambia wapande ngazi RC wakaonane na RC!Walivyopanda wakashangaa gari la RC linatimua vumbi kutoka viunga vya ofisi yake!Kuuliza wakaambiwa mkuu ndio kashasepa,walikaa mpaka saa 9 wakatoka mikono mitupu!Hapo pia juhudi za kumtafuta kwa simu na barua zilikuwa zimeshahonga mwamba kitambo!Acha uongo eti kakwepa, walienda saa ngapi kama hata walimtafuta!?
Gemu la Nape na wenzake limenaswa, hawakujua wanaangaliwa. Soma uzi mmoja wa leo humu.
Makonda oyeeeee
Mwakyembe alisema: documents zilitosha kujieleza. Jinsi process ilivyokua, ndio maana hakumuhoji ELNimeona watu wakilalamika kuwa kwann ripoti imetoka wakati haina upande wa pili ambao ni Makonda!Hapa Makonda amekwepa mwenyewe kutoa ushirikiano kwa kamati kufikia hadi kuwatoroka ofisini kwake!
Lakini pia tujikumbushe kamati ya Mwakyembe juu ya Richmond,hawa walisafiri mpaka marekani lakini hawakumuhoji lowassa ambaye alikuwa tayari kutoa ushirikiano!Kamati iliwasilisha ripoti bungeni bila maelezo ya lowassa!Mwenyewe alilalamika kwa kutohojiwa na kamati!
Tuache double standard!
amepigwa ban! labda tbc ndio wataendaAitishe press ajieleze
Chadema hatuwaamini tena
kuna watu wengine hata mkipimwa ni bure tuAcha uongo eti kakwepa, walienda saa ngapi kama hata walimtafuta!?
Gemu la Nape na wenzake limenaswa, hawakujua wanaangaliwa. Soma uzi mmoja wa leo humu.
Makonda oyeeeee
Wewe Nape nani anaweza kua CDM?Chadema hatuwaamini tena
Kubishana na chizi utajipa kazi.Wewe Nape nani anaweza kua CDM?
Kwanza umeisaidia nini Kikubwa CCM kumzidi Nape?
Mmesahau mpaka alitaka kupoteza Maisha yake (alipata accident kipindi cha kampeni)kwaajili ya chama?
Mbona kuna watu walisema walikuwa na ushahidi.Lowasa never did anything wrong
Chadema hatuwaamini tena
Tv ya kipenzi cha watanzania. Ukweli na uhakika. Hizi zingine hata zisipotumiwa zinaishia hapo magomeni tuamepigwa ban! labda tbc ndio wataenda