Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,419
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Kamati Kuu ya chama hicho itakutana katika kikao chake cha kawaida Jumamosi, tarehe 14 Desemba 2024, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa tarehe 13 Desemba 2024, kikao hicho kitajadili ajenda kuu mbili:
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Dunia nzima hii hapa
Mungu Ibariki Chadema
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Ijumaa tarehe 13 Desemba 2024, kikao hicho kitajadili ajenda kuu mbili:
- Usaili na Uteuzi wa Wagombea: Kikao kitalenga kusaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Kanda za Kaskazini na Kati.
- Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi: Kamati Kuu itapitia maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama ngazi ya Taifa.
Kikao hicho kitaongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Dunia nzima hii hapa
Mungu Ibariki Chadema