Kamati Kuu ya CHADEMA ikiwa katika kikao chake leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Saint

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kamati Kuu ya CHADEMA ikiwa katika kikao chake leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Saint. Gasper, mjini Dodoma, kuandaa agenda za Kikao cha Baraza Kuu kitakachokutana Jumamosi, Mei 27, mwaka huu katika Ukumbi wa African Dream, Dodoma.

[HASHTAG]#BarazaKuuChadema2017[/HASHTAG].



 
I hope Lowasa atajisafisha kuhusu uhusiano wake na Rostam na Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…