Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 22,266
- 41,867
Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.
Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.
John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate tamaa hamkumwelewa!?