Kuna lugha za kishkaji tu usijali sanaMkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
Nadhani utakua ni utani tu.Mkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
Hawara ni Mwanamke ambae ulikua nae ukamuacha sasa unapomrudia na kutaka kumuoa ni the same anabakia kua hawara yako tu, Sasa sijajua Mkoloni aliwahi kua nae na wamerudiana au imekuajeMkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
Masihara tu haya...Mkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
Watu wako siriaz na msisha ya watu sana😂Masihara tu haya...
hacha kucomplicate issues,hyo ni kisela zaidiMkoloni akiwa msaidizi wa Sugu,aliwahi kupata madhira ya kulishwa chakula chenye sumu,aliacha shughuli zake za mziki na akawa Karibu w Sugu kwenye uchaguzi mgumu sana ambapo CCM ilipelekea rundo la wasanii Mbeya kumsaidia mgombea wa CCM,ila Sugu akashinda na akaongoza kwa wabunge wote kupata kura 32,000+
Kumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
Mbeya imekuwa kitovu cha Utaliii sababu ya Sugu.
Waarabu wa unguja wanajuana kwa vilemba vyaoKumuandikia hivi Mkoloni ni kumvunjia heshima!!
KUna vimaswali napata kupitia hii picha ,Bongo kwani kuna huduma ya Volte?
Anamkera ili afunge ndoa halali.Nadhani utakua ni utani tu.