Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,415
- 80,685
Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!.
Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??.
Au CCM ikiwa na Mikutano ,Kariakoo ndio inabadilika kua Eneo lisilo na biashara??.
=================
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo halijamkamata mtu, ila limezuia fujo eneo la biashara Kariakoo kwa sababu hakuna uwanja wa mikutano wa hadhara.
Kamanda Muliro amezungumza kwa kina na ITV DIGITAL na kwamba watu wote walioondolewa eneo la Kariakoo wako huru na kusisitiza kwamba hawajashikiliwa.
Soma Pia: John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo
Muda mfupi uliopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema baada ya Heche kukamatwa, alipelekwa Kituo cha Polisi Msimbazi, lakini baadaye aliondolewa na polisi na viongozi walipoenda kuuliza walijibiwa kuwa hakufikishwa kituoni hapo.
Shame on You !!!