Kama wanyama wangekuwa na whats up, stutus zao zingesomeka hivi

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
MENDE: "nimekoswa na guu la mama mwenye Nyumba, maisha yangu mashakani, why always me???? "

PANYA: "nimekula nguo lenye pafyumu, nasikiaje kiu. uwiiiii"

NGURUWE: Binadamu wabaya jamani, wameshanizushia nasambaza mafua "

MBU: Nina HIV, nimekomaje kunyonyanyonya hovyo.

MBUZI: teh teh teh. thank Good pasaka imepita. ni kula BATA tuu mpaka EID.

KUKU: "friends mkiona kesho kimya mjue nipo mezani maana kuna wageni wamekuja leo hapa home, tuombeane uzima wapendwa, love you all
* "*
"Ongeza ya kwako"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom