Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,593
- 7,486
Ndugu zangu salaam
Tulisha ongea na kuandika sana kuhusu single maza na maoni yalitolewa mengi sana ,ila kuna watu hawataki kusikia kabisa sasa jibu rahisi kama unataka kuoa single maza ( mwanamke aliye zaa na mwanaume mwezio ambaye yupo hai) fanya hivi.
1: Nenda kijijini kwenu muulize bibi yako ( mama mzaa baba ) kama yupo hai , mwambie kabisa nataka kuoa single maza tena mfafanulie kwa kina ili akuelewe mwambie ni mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine na mwanaume wake yupo hai ikibidi watajie mpaka koo anazotoka huyo mwanamke
2: Kama bibi yako upande wa baba hayupo hai waulize dada zake na baba yao watakupa majibu
3: Kama wote hawapo hai waulize dada zako mliozaliwa tumbo moja na kwa baba mmoja waambie kabisa nataka kuoa single maza .
Wasikilize kwa makini ,usilete ujuaji wala kutetea hoja na majibu watakayokupa hakikisha unayafanyia kazi kisawasawa. Maana sisi huku Jf tumesema sana hamtaki kusikia
Nawatakia kilala heri