Aisee Hii wakaka wabahili iwafikie habari za kulazimisha kuonana na mdada halafu mnaagana unashindwa kumpa hata elfu 2 ya nauli haipendezi tuna haribiana bajeti.
Hiko hivi kuna huyo Kijana tumefahamiana ni kama mwezi wa 3 sasa mcheshi yuko Normal tu.. kitu kinachonikera kwake yaani anapenda sana kulazimisha kunitoa out yaani nikikataa ni kama hapendi anajisikia vibaya
Sasa mimi huwa sipendi kutoka bila kuwa na hela yangu lolote linaweza kutokea.. lakini Hii inaboa imagine unakaa chanika halafu out mkaonane masaki.. unatoka na gharama zako unasema basi ka mtu katajiongeza hata Elfu 5 ya nauli kwasababu umeharibu ratiba na bajeti yako lakini mkavu kama nini
Kinachonikasirisha zaidi anaagiza mavyakula ya bei yaani mkitoka hapo menu inasoma 50k nilivyo masikini natamani kumwambia hiyo hela ya msosi anipe 40k hiyo 10k tukale chips tunashiba kabisaa
Acheni ubahiri nyie wanaume