Kama unajiita 'Mtoto wa Mjini' na hatujawahi kukuona Mbowe Hotel, YMCA, Maggot, DDC Kariakoo au Amana Club, Wewe ni mshamba tu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,255
168,842
Au nasema uwongo ndugu Zangu?

Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa

Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto

Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma

Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
 
Chriss Phabby akiwa na Young Millionaire pale Lang'ata social Hall Kinondoni.

Hahahahaha , walau basi iwe hata umecheza disco la DJ Mbowe pale Hard Rock na Club Bills
 
Au nasema uwongo ndugu Zangu?

Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa

Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto

Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma

Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
Aise hatari sana

Ova
 
Watutoleee fujo zao, basi hata kumalizia uzee Kwa macheni mnyalukolo hawajui, tukikumbusha vurugu za kino shamba watakutajia biafra,
 
Watoto wa mjini wasio mfahamu dede, bichuka, tx, chidumule, marijani, ngoja tuwasubiri
 
Au nasema uwongo ndugu Zangu?

Wewe enzi za " Utoto wa Mjini" kiwanja chako kilikuwa wapi maana naona CCM Utoto wa Mjini ndio umechukua nafasi ya Chawa

Mimi kiwanja changu kilikuwa YMCA kwa Chris Phabby na Jerry Kotto

Pascal Mayalla najua ulikuwa ama DDC Kariakoo kwa Sikinde Ngoma ya Ukae au Amana kwa Msondo Ngoma

Kwako Mrangi ova - muuza mitumba kwa mabishoo wa Basketball akina Richard Kasesela aka Dibo
Mimi sikuwepo enzi hizo.Nimeuza shamba langu la mikusu hapa Kinegembasi ndiyo nakuja na ABC ya jioni huko Daslam.
 
Huko tuliwafata wazee wetu, maza kakufunga nyuma ya mgongo anawaka barabara nzima kutoka magomeni dosi mpaka mbowe au new africa pale, mzee kashatoka TBL kusuka engine za scania..
Bata likahamia kwa macheni,
Sema bata la mabaharia na nguo zao,
Hadi sasahvi halijawafikia vijana haawa wakisasa, Tunakula pensheni za wazee na pesa zetu za ajira. Ni moto sana, pale 1245 au tips coco, maeneo yetu haya ni hatari. Na sisi bado vijana tupo na mabraza wetu tu, Hadi mbwiga mbwiguke aliuza eneo kkoo pale.
 
Back
Top Bottom