KAMA UNABISHA JARIBU!
1: Huwezi kuweka sabuni kwenye macho.
2: Huwezi kuhesabu nywele za kichwani.
3: Huwezi kupumulia PUA wakati ULIMI uko nje.
4: Najua umejaribu hilo la 3.
5: Umeonekana km mbwa..
6: Unacheka kwa kua nimekufanya mbulula.
7: Lazima uwatumie wenzako ili ulipize. hahaaaaa!!!
Ni kweli ilitokea huko Nigeria?
Nikikuambia 3x1 ni tofauti na 1 x 3 najua utabisha kwa sababu wewe ni msomi, sasa kwa kuwa unabisha nenda Hospitali wakikuandikia dawa 1x3 badilisha weka 3x1 ndo utajua kama bodaboda inaweza ikawa ambulance.