Kama una akili ya D mbili unaweza kufikiri aliyependekeza sh 50 ikatwe kwenye muda wa maongezi ni akili yake

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,793
4,951
Kuna mheshimiwa mmoja alipendekeza sh.50 ikatwe kwenye muda wa maongezi kwa kila line ili kuchangia ujenzi wa barabara.

Unaweza kufikiri ni akili yake amependekeza, lakini kusema kweli zile tozo zilizosababisha watumiaji wa mitandao ya simu kutuma pesa kupungua, zinakuja tena kwa dirisha la muda wa maongezi. Inaposemwa sh. 50 inaonekana ndogo lakini kuna watu wataumia sana maana makampuni ya simu yakipiga hesabu zao itaongezeka zaidi ya hiyo.

Haya mambo utayastukia tu unapoona mapendekezo mengi sana yanatolewa lakini hilo litachukua nafasi ya kwanza.

Watu wa kipato cha chini na kati wanaumia sana katika kulipa kodi.Mfano kuna mfanyakazi yuko mgodini wa kawaida kabisa lakini kodi analipa zaidi ya milioni tatu zinakatwa kwenye mshahara.

Lakini machawa unaowajua anajenga nyumba anasema ya bilioni moja kodi aliyolipa au anayolipa kwenye kipato chake haifiki hata milioni moja.

Hii inasikitisha sana

Pia soma:
 
YAANI mburula (mabong'o)wamekuwa wengi siku hizi na wezi vibaya mno tena na tena na tena kama ningekuwa msoja ninge wafanyie ambush kuwaangamiza kabisa harafu na lipua bunge na SEPA naenda kufia mambele
 
Muwamba ngoma huvutia kwake.... wajigawia minyama minyama wakizani bucha la kwao ila kimsingi tumewapa dhamana tu, juzi tu wamesema na wake zao tuwalipe doh.
 
Ukimtazama LAMECK Madelu huwezi kupata hata motisha wa kusoma phd, anyway hii ni nchi ya madokta, dokta msukuma, dokta babu tale, dokta mama etc..
 
Back
Top Bottom