Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 1,888
- 5,028
Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.
Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani.
Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu.
Stand as a man hudumia familia, hela yake itumike katika hali ya emmergency na ukiweza una refund ili kuhakikisha una sauti.
Najaribu kumaanisha kwamba usibweteke katika kuhudumia familia kisa wife anacho kipato, italeta shida na bomu utakalokuwa unasuka ni kubwa sana.