Kama uliusikiliza huu wimbo enzi hizo, basi fanya uowe/uolewe/uzae haraka

RIGHT MARKER

Senior Member
Apr 30, 2018
135
495
BURUDANI
Leo nakuletea uzi wa burudani, lakini pia nakukumbusha kuwa kama uliusikiliza huu wimbo tangu siku ambayo wimbo ulitambulishwa sokoni basi fanya uowe/uolewe/uzae.

Usilete visingizio kuwa unatafuta hela, huenda fungu la hela limekupita kushoto, hivyo usipitwe na fungu la uzao, utakufa bila kuacha damu yako.

Wimbo/Instrumental beat👇(attachment)

Right Marker
Dar es salaam
 

Attachments

  • b96264d8-d3cb-47e5-b55b-97c6931d0813.mp4
    47.3 MB
Back
Top Bottom